Kukua katika Imani
Mapenzi ya Mungu ni kila muumini, mmoja mmoja, akue na kufika katika kiwango cha imani, nguvu na neema aliyokuwa-nayo BWANA wetu Yesu Kristo. Ndio maana “… alitoa wengine kuwa Mitume, Manabii, Wachungaji, Wainjilisti na Waalimu, kwa kusudi la kuwakamilisha watakatifu [wote], ili mwili wa Kristo [Kanisa] ujengwe, hata na sisi...