Kanuni za Ushindi

Kanuni za ushindi ni mfululizo wa masomo sita (6) yanayofundisha namna ya kutawala ulimwengu wa kimwili kwa kufanya mabadiliko (kuathiri) katika ulimwengu wa kiroho kuhusu jambo unalotaka kupata ushindi.

Mafundisho haya yanapatikana katika CD na DVD

Comment(1)

  1. Reply
    Grace says

    AsanteTicha, Mungu akuinue zaidi…umeweka kidogoooo!!

Post a comment