Mkristo na Uchumi

Mkristo na Uchumi ni mfululizo wa masomo sita (6) yanayofundisha namna ya kutumia kanuni za kiuchumi zilizoko katika biblia ili kufanikiwa kwa namna inayompendeza Mungu.

Mafundisho haya yanapatikana katika CD na DVD

Comments(7)

 1. Scalion Tegamaisho says

  Shalom Ndg.

  Naomba huduma ya kutumia masomo.

  • Baraka Wilson says

   Nitumie email yako kwa namba zetu za simu +255753497655

   • Christopher Msagatwa says

    Nabarikiwa sana na madundisho ya mtumishi Mgisa. Naomba kutumiwa kupitia email yangu hiyo kwa kila somo mana nipo vijijini na nategemea internet kusikiliza redio kupitia mtandao ambapo siku sina bundle nashindwa kusikiliza.

 2. Azori rutaha says

  Shalom,
  Mtumishi nabarikiwa sana na somo hili la mkristo na uchumi,japokua sijapata kulisikia lote kuanzia mawazo,naomba kupatiwa soft copy kwa email yangu.barikiwa.

  • Baraka Wilson says

   Kupata masomo mbalimbali kwa email, nirushie address ya email katika number zetu za huduma +255753497655

 3. Catherine Faustine says

  Shallom mtumishi naomba somo la wiki iliyopita

 4. Keith mwambungu says

  Mbona haionekani seemu ya kujithibitisha

Comments are now closed for this article.