Vita vya Kiroho

Vita vya Kiroho ni mfululizo wa masomo sita (6) yanayofundisha namna ya kupigana vita katika ulimwengu wa kiroho ili kupata ushindi utakaowezesha kutawala ulimwengu wa kimwili.

Mafundisho haya yanapatikana katika CD na DVD

Comments(5)

 1. Reply
  Ticha Mgisa says

  Hiki chakula kigumu, si cha watoto. Watavunjika meno.

 2. Reply
  Elisha Charles maginya says

  Mgisa mtebe tunakushukuru sana kwa kutuletea mkate wa bwana mungu akubaliki sana
  Nami namushukuru mungu nimejifunza kupitia mtumishi wako

 3. Reply
  Steven says

  Habari somo zuri sana naomba kutumiwa CD hii namba yangu 0715324436

 4. Reply
  Anonymous says

  f2LOws https://www.genericpharmacydrug.com

 5. Reply
  emmanuel says

  mafundisho ya alhamis iliyopita kwenye radio wapo nitaipata vipi

Post a comment