Kanuni za Ushindi

Kanuni za ushindi ni mfululizo wa masomo sita (6) yanayofundisha namna ya kutawala ulimwengu wa kimwili kwa kufanya mabadiliko (kuathiri) katika ulimwengu wa kiroho kuhusu jambo unalotaka kupata ushindi.

Mafundisho haya yanapatikana katika CD na DVD

Comments(2)

  1. Reply
    Grace says:

    AsanteTicha, Mungu akuinue zaidi…umeweka kidogoooo!!

  2. Reply
    Mika says:

    Ahsante sana mtumishi umenisaidia Sana kwa hili kiukweli sikuwa na haya maarifa ya kwenda na neno kwenye maombi

Post a comment